UTASA
Utasa ni neno litokanalo na neno tasa yaani mtu mwanamke aliyekuwa hana kizazi au jazaa hadi utuuzimani kwake.
Chanzo cha maradhi
Katika hali ya kawaida utasa hauonekani kama ni maradhi kwani mtu anaweza kuwa tasa na akawa haumwi na sehemu yoyote. Anaweza kuwa na afya nzuri sana kwa kukumuangalia pengine hata kuliko yule anaezaa. Tumeyaita maradhi kwa sababu yanagusa hisia za mhusika na chanzo chake kinatokana na athari fulani ndani ya mwili.
Sababu za utasa
Sababu zipo nyingi lakini kwa ufupi hapa tunazitaja chache, nazo ni:
i) kuziba kwa mirija ya kizazi.
ii) uchafu katika mirija ya kizazi .
iii) ukavu wa uke wakati wa tendo la ndoa.
iv) maumivu au maradhi ya mlango wa kizazi -uvimbe, kutoa maji, bacteria.
v) mzunguko usio na mpangilio wa period (siku za kike -siku za mbeleni).
vi) mayai mabovu au yasiyokuwa na nguvu ya kushika mbegu za kiume.
vii) mirija kujizonga au kujipinda.
Dalili za utasa
Dalili za wazi za utasa hakuna. lakini dalili zake mara nyingi mpaka mhusike awe muwazi wa kuzitaja na kumwambia mtibabu. Tahadharini sana mwanamke. Msiweke siri katika kujieleza wakati mnatibiwa jambo hili. Mara nyingi tasa huwa na dalili zifuatazo:
i) maumivu wakati wa tendo la ndoa.
ii) mara nyingi kukosa hamu ya tendo la ndoa.
iii) mara nyingi kuota unafanya tendo la ndoa au wapo na wapenzi wao.
iv) maji maji hutoka ukeni.
v) ukeni huwa kunawasha.
vi) ndani ya uke huwa kama kuna kitu kinashuka.
v) period hutoka kidogo sana na mara nyingi huwa si ya mpango.
vii) period huwa chafu, nyeusi na mzito.
viii) baadhi ya wanawake hutoa harufu.
Matibabu
Unapojigundua una moja kati ya mambo yaliyotajwa hapo juu basi muone daktari aliye karibu na wewe.
Lakini kumbuka tu kuwa maradhi haya yanatibika kwa dawa za asili na utasa huondoka na mtu huzaa. Wengi wamefanikiwa kwa kutumia dawa za miti shamba. Dawa tunazo na si ghali kama wengi wanavyodhani. http://komboherbs.blogspot.com
TUPO KWA AJILI YA KUSAIDIANA
WASILIANA NASI KWA ANUANI ZIFUATAZO
Herbalist of Zanzibar: Mr. Kombo, YH (MSc.)
Email: yhkombo@yahoo.com au komboyh@yahoo.com
Mobile phone: +255 713 459447
PO Box: 4752 , Zanzibar - Tanzania